#DhorubaSERIES YA KIJANJA KAA MKAO WA KUJIPENDELEA
Sasa sikia nikwambie kuanzia leo hakuna kwenda shughulini
Sasa sikia kama nisiende sawa ila mi hela nisha kula wakija utaenda wewe kusasa mbua
Pale hakuna mke wa mtu na kama yupo huyo mume hajui wajibu wake kwa mkewe
Unakosa nini mpaka ukasasambue mbele za watu unakuwa kam mnyama
Unashindwa kunisasambulia mumeo unaenda kusasambua barabarani
No comments:
Post a Comment