Friday, September 9, 2016

  • #KiotaFX ni Maalum na makini kwa ajiri ya kukuza vipaji
    Ni premium ngazi kujifunza uzoefu kwa motisha na uzoefu zaidi, wasanii wachanga Huvunjika nia zao kwa kukosa support, #KiotaFX ni kama chombo muhimu zaidi ya msaada kwa wasanii wanao hitaji kujifunza FX
    KAA TAYARI KUJIFUNZA #Makeupfx darasa litaanza rasmi mwezi huu wa Tisa
    DARASA LITAKUWA KILA J.MOS NA J.PILI
    #TAMBUA
    Mwanafunzi na Mazoezi & Fainali ni Maandalizi
    Mtihani wa kufuzu Utafanyika kwa kujitegemea kwa kila Mwanafunzi wa FX Makeup baada ya mafunzo.

    Make up hizi huhitajika zaidi Katika sekta ya filamu,
    #MASOMO HUSIKA NI:- 1}Film and Production
    2} Make up Fx ( Vidonda, makovu, kuunda mizimu, zombies, n.k)
    3} Location Designer Special Effect (Kuandaa milipuko, kuandaa location isio rasmi, kuandaa kijiji,mji, kuchoma gari, kupindua gari n.k)
    4} Costume Designing

    Wanafunzi watashiriki katika shughuli za film kama fild kisha tutakupa nafasi ya kutumia mbinu na kutumia vifaa hapo tutakuwa tumemaliza darasani.. Vifaa vitatolewa kwa wanafunzi kutumia wakati wa darasa na Ochu KiotaFxFX ™. darasa lengo lake ni kujenga tabia ya kujiamini.. Sisi kupendekeza kuja siku ya kwanza TUnaweza kujadili mawazo yako na mwalimu na wageni mbali mbali
    Kama wewe ni msanii ambaye tayari umebaini umuhimu wa fursa hii njoo ujiandikishe mapema ili uweze kuwa kwenye list na tukuandalie vifaa vyako vya make up kit (brushes, zana, vifaa vingine kama rangi, n.k)
    Ni kwamba vifaa ni sehemu ya matumizi, nawakaribisha tulete mapinduzi...kaa mkao wa kujituma

Unlike

No comments: